Picha kwa hisani ya mdau Bilal Ahmed

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. The mdudu,wadau tujiulizeni hivi ni nn KAZI YA MKUU WA MKOA? Na ni nn Kazi za WABUNGE wa hizo wilaya tatu za ILALA,TEMEKE,na KINONDONI,na kazi za wakuu wa hizo wilaya? Ndugu zangu watanzania mm kukaa kwangu huku Uingereza nimejifunza mambo mengi sn,yaani mkoa uko ovyo ovyo toka enzi hizo mpaka leo hii? Mkoa hauna mipangilio ya maana kama vile sehemu za kupumzikia,mifereji ya maana ya kupita chini kwa chini mpaka baharini,barabara ndio hivyo tena foleni za kufa mtu,barabara za juu ndio hivyo tena zote zishajengwa kwa midomo yao,haya na wezangu wenye akili timamu eti tutaandamana mpaka tuongezewe sehemu ya kujenga uwanja mpya wa KAUNDA lo amakweli mnahakili mpa zinamwagika sasa kwa hari hiyo mtajenga wapi? Au huo uwanja utaelea kwenye maji? Wizara ya ardhi na makazi wako wapi na wanafanya nn? Ndugu zangu watanzania huku niliko haiingii Akilini watu walipwe MISHAHARA PASIPO KUJUA NINI WAKIFANYACHO? Ni MiMI THE MDUDU au TANGANYIKA KWANZA na pia nimechoka kutukanwa na Wazanzibar huku niliko coz wanasema hawautaki hatakuusikia huo muungano na wote washaanza kujiita Zanzibar Kwanza na mm nawajibu bila woga tena kwa mbwe mbwe Tanganyika Kwanza.

    ReplyDelete
  2. Duuuu kasheshe... uwanja wa Yanga umezama wote..... ujenzi wake si itakuwa kasheshe kuuinua au?

    ReplyDelete
  3. Hizi mvua zitakuwa zimeletwa na madiaspora tu, eheeee ehehehe, (LOL!)

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza vumilia tuu huo unaopewa na wazenj ni utani tuu,maana kiukweli wanapokutana Watanzania bila ya kutaniana basi hao si watanzania. Tangu jadi hadi leo ni matani tuu mpaka imefikia watu kutaniana katika uwanja wa siasa tena juu ya majukwaa.Ona mifano,Nyerere alitaniwa kwa kuambia 1+1=3 alikasirika,kiongozi mmoja alimtania mwenziwe kwa kumwambia "Balahau huna sera wee" basi nikupe ya jana Bunge la katiba kiongozi awaambia wabunge wenziwe"acheni ushoga",waona mambo ya utani hayo.Basi na wewe kwa hao wazenj don't get headache.Ni utani tu.Na kuhusu hiyo Kunda stadium imeamuliwa kujengwa ikielea kama vile "the hanging garden of Babylon. hahahahaha!

    ReplyDelete
  5. HAO WANAOTAKA URAIA PACHA MMEIONA HIO? OOO HHH ETI WAWE NA PASSPORT MBILI,
    KAAENI KUKO HUKO MBEBE BOX

    ReplyDelete
  6. Sasa choo na bafu viko majini na jamaa wanakula chakula hapo kwenye mimaji .....tutafika jamani?

    ReplyDelete
  7. Mi naona vikwangua anga tu, jiji la dar linachomoza kama new york au tokyo.

    ReplyDelete
  8. Ukiwa na akili timamuhuwezi kujenga kwenye maeneo ambayo yapo wazi kwa akili ya maji kukusanyika na kupita au sehumu ya kuibulia. Jangwani kukijengwa jiji litajaa maji, Barbara haitapitika. Acheni Uroho, na uchu fikirieni wajukuu zetu wataiishi na na gain baadae.

    ReplyDelete
  9. Ahhh wapi Mdau wa 3,

    Madiaspora watoe laana dhidi ya Tanzania hadi itoe majibu ya adhabu ya maafa kwa lipi baya walilotendewa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wenye makosa ni wao kwa kuisaliti nchi ya Ahadi?

    ReplyDelete
  10. Mzoea mabaya sana!

    Jamaa picha ya chini wamejenga mazoea ya kupata Masanga hapo Pabu, sasa leo pamekuwa bwawa la maji wanajikuta wanababana hivyo hivyo!

    ReplyDelete
  11. duh wandugu mnaopata vinywaji hapo hayo maji cndo yanatoka chooni hapo upande wa kulia,...afya kwanza kwa kweli,..

    ReplyDelete
  12. Ukisikia Bongo tambarale ndio kama hivi!!!

    Tembo likikolea, ahhh kila kitu muruwa.

    Jamaa wapo wanakoga Kinyesi huku wanayachapa maji kama hawana akili vile?

    ReplyDelete
  13. Hao jamaa chini hapo maeneo ya Jangwani watakuwa wanakunywa 'KUBWA' yaani gongo kwa sababu huwezi kunywa Bia ktk mazingira mabovu namna hiyo.

    Kana unaona chupa ya bia juu ya meza ni kama zuga au bosheni tu!

    ReplyDelete
  14. Huo wote ni usanii tu na uvivu tu. kila mwaka serikali eti inatoa viwanja na mahema misaada ya wahisani na ela kwa watu wale wale kila masika wanaenda wanarudi ili wapate viwanja na misaada. Serika inapaswa ifanye jangwani kama hifadhi ya Taifa watu wahame kama hifadhi nyingine za Taifa maana haparuhusiwi watu kukaa wanalazimisha ili wapate misaada tu.

    POLENI KWA YANAYOWAKUTA

    ReplyDelete
  15. Jamaa wanakunywa kama kawa wala hawana habari na maji kujaa!

    ReplyDelete
  16. Unywaji wa GONGO wa KIDIJITALI mmeuona hapo chini watyunwakiwa wmaekaa ktk viti huku miguu ikiwa imewekwa kwenye maji?

    Baada ya maafa ya Kigogo Mbuyuni mwaka 2011 Gongo lilipozimuliwa kwa kupikwa KIDIJITALI kwa kuongeza vionjo vya kuongezea ukali ambapo Wanywaji 10 pamoja na mama Mwuuza walitngulia mbele za haki!

    Siku ya tukio wanywaji walianza kudondka mmojabaada ya mwingine ambpo mama Mwuza nayealipo ambiwa aliamua hukua Glasi ile chwam nayeakanyooka!

    Hivyo timu ya Mafamasia wa huko Manyasini wakaona ili kupoza makali ya Gongo la Kisasa la Kidijitali lialo zimuliwa kuongezwa ukali kwa JIKI pamoja na MAJI YA BETI ZA MAGARI wakashauri wanywaji kama hapo chini wawe wanakunywa huku miguu ikiwa ndani ya maji !

    ReplyDelete
  17. Mdau wa 5:

    Hata mimi nashangaa Ndugu zetu Madiaspora MNAO OMBA PASIPOTI MBILI mtauweza MNEMBA wa Bongo kama hapo chini wa kunywa Pombe ya Gongo huku miguu ikiwa imelowekwa ndani ya maji?

    Ile tu kufulia majani ya mipapai, mafoleni ya unga na sukari miaka ile kitambo ya 80 huko chini mkaikimbia nchi na kuomba Uraia nje!

    ReplyDelete
  18. Juu ya meza ya Waungwana wa Jangwani wanaokunywa utaonaChiupa za Soda kama Pepsi, Fanta na Sprite (hiyo ni babaisha bwege tu) huku wakiwa wamekaa ktk viti na meza yao ndani ya mji ya ugokoni miguuni.

    Lakini cha ajabu wasogelee hapo halafu wasemeshe huku unawasha kiberiti karibu na midomo yao asalaleee mvuke wanaotoa ukikutana na moto wa Kiberiti kwa kasi ya ajabu unawaka!!!

    Sasa je hizo Soda zao juu ya meza ni Soda za kawaida kweli?

    Jamani wakazi wa Jangwani Mabondeni mnaona jinsi mnavyo hatarisha maisha yenu kwa unywaji wa Gongo wa Kisanii namna hiyo huku mkiikosesha Mapato Serikali?

    ReplyDelete
  19. Anonymous #10 ulieysesema
    "Ahhh wapi Mdau wa 3,.... tulia wa kwetu hao madiaspora wasikunyime raha wala usingizi...ukichoka sana kajinyonge kwenye kitanzi, teh, teh, teh

    ReplyDelete
  20. Loyal customers ni hao wanaokunywa pombe iwe mvua, jua, mafuriko lazima watokee 'sebuleni' wapate ya 'kawaida'

    Mwenye Pub na Kampuni ya Konyagi inabidi awape offer ya bure mwaka mzima manake hii siyo kawaida customer kuwa loyal kiasi hiki.

    Mdau
    Sustainable marketing relationship with Customers

    ReplyDelete
  21. Yanga Sports Club:

    Hapo juu Klabu yenu inazama kwenye maji kama vile Timu anavyozama ktk Ligi Kuu na kulikosa Kombe la Ubingwa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...