Mkurugenzi wa Fedha na Utawala
wa Mamlaka ya ukanda maalumu wa
uwekezaji (EPZA), Bw. Desidery Kalimwenjuma (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa polisi wilaya ya kimara, SP Cosmas Papalika
(katikati) moja ya vifaa vitakavyotumika kwa ajili ya ukarabati wa kituo kidogo
cha polisi cha Mwongozo kilichopo Makuburi Kibangu jijini Dar es Salaam. Wengine ni afisa wa polisi, Ali
Rashidi (kulia), Mkuu wa kituo cha hicho, John Haule (wa pili kulia) na Mkuu wa
kitengo cha manunuzi kutoka EPZA Bw. Joseph Matara (wa pili kushoto).
Home
Unlabelled
EPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...