mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa akinadi sera zake kwa wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni zake,zilizoendelea leo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa ambapo aliwaambia wananchi hao tutafute viongozi wa mfano wa Kitanzania ambao hawatatuchonganisha na watoto wao.
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga,Godfrey Mgimwa akiwa emebebwa juu na Wananchi na wanachama wa CCM wakielekea kwenye eneo la Mkutano wa hadhara wa kampeni.
Wakazi wa Kalenga A,wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge kupitia CCM zilizofanyika leo.
Makamu Mwenyekiti (BARA) wa CCM,Ndugu Philip Mangula akihutubia kwenye kumtano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga,mapema leo jioni kwenye Kata ya Kalenga A-Iringa vijijini.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga,kupitia tiketi ya CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kata ya Kalenga A mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akipokea kadi ya Chadema iliyorudishwa na Ndugu Said Omary Mbilinyi ambaye amerudi CCM baada ya kutoelewa sera na siasa za Chadema.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...