Vijana ambao wamajina yao hayakupatikana walionenekana kwenye mitaa ya Manispaa ya Dodoma wakiwa wamebebana katika baiskeli kinyume cha utaratibu huku wakiwaacha watu waliowaona midomo wazi Machi 26, 2014. Walikuwa wakitoka Iringa Road wakielekea Sabsaba. (PIcha na Ofisi ya Hilary Bujiku)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii picha, inatafsiri nyingi kuhusu maisha yetu ya kila siku.

    Wanahatarisha maisha yao lakini TUNA MENGI YA KUJIFUNZA HAPO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...