Hi,
Leo ndio tumeachia rasmi audio ya wimbo wa BARAKAH Da PRINCE (msanii mpya kutoka Tetemesha Entertainment), baada ya kutoa video yake wiki iliyopita.
Wimbo unaitwa Jichunge na umefanywa katika studio ya Tetemesha chini ya maproducer wawili KidBoy na producer mpya anaitwa Nusder.
Tunaomba support yako kadri utakavyoweza.
ARTIST NAME: BARAKAH Da PRINCE
SONG TITLE: JICHUNGE
WRITTEN BY: BARAKAH & KIDBOY
PRODUCED BY KIDBOY & NUSDER
MIXED BY: KIDBOY
MASTERED BY: MISJAH @24MASTERING - NETHERLANDS (www.24mastering.com)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...