Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Pini imetulia. Nafurahi kuona miziki yetu ina akili siku hizi. Ni maendeleo. Kila lakheri, na asante Ankal kwa kushare vitu vipya.

    ReplyDelete
  2. Siku hizi muziki wa kizazi kipya huwezi kutofautisha kama ni movie au muziki.

    Sanaa zipo za aina mbalimbali yaani muziki, filamu,Tamthilia (drama),mashairi(poems),kuchonga vinyago n.k

    Sasa muziki wa kizazi kipya video zake haijulikani kama ni drama, film,Mashairi au nini!?

    Mdau
    Muziki wa dansi

    ReplyDelete
  3. Director Nysher pamoja na wasanii kama Chaba na Vicklicious kazi zenu za studio mnaonaje mkiwaongeza wapiga ala kama free guitarist players, drummers, saxophonist n.k mkawahusisha ndani ya studio ili kupata mapigo ya vyombo tofauti tofauti.

    Badala ya kutegemea Director awe pia anatumia vyombo kama organ kubuni mapigo ya ala mbalimbali n.k. Hali hii husababisha kila kitu kinachotoka studio beats kufanana maana mtu mmoja nafanya tasks kibao.

    Kufuata angalizo langu ma-director wenye studio mtakuwa mna kwenda next level ktk ku-produce kazi za wasanii kwa viwango vya juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...