Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014
ambao Utafanyika mkoani Morogoro katika ukumbi wa CCT kuanzia tarehe
11 hadi 12 Machi 2014 na utafunguliwa na Mhe. Pindi H. Chana Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Ambapo watoto
watapitia taarifa za utekelezaji za Mabaraza ya Watoto ya Wilaya na
Mikoa Nchi nzima pamoja na kuchagua viongozi wapya wa Baraza hilo.
Home
Unlabelled
Mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2014 kufanyika mkoani Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...