Si mwengine ila ni yule yule Mkali wa Dance Tanzania kutoka THT kwa jina la Question ambaye ametoa nyimbo yake mpya na kuonyesha kipaji chake kingine cha kuimba na nyimbo iitwayo 'Nakupenda'
Vilevile atakuja na movie yake ambayo ipo kwenye mapishi na Action kali ambazo hazijawahi kutokea in Bongo Movies.
Sponsors wa movie hio wanatafutwa
wasiliananae simu 0717792876.
Hiyo taswira ktk movie kwenye lango la duka yenye picha za Mwanamapinduzi wa kimataifa Che Guevara na alama ya Swastika ya Hitler wa Ujerumani ya NAZI wapi na wapi ??? Ushauri utafiti wa kina wa kila scene ktk hatua ya shooting ya movie ni muhimu.
ReplyDeleteKwa vile movie baddo inafanyiwa ukarabati wa mwisho inabidi kila scene ipitiwe na kufanyiwa editing kuondoa kasoro mabalimbali za kihistoria, kitamauni, mwanga n.k
Mdau
Havana, Cuba