Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais, Dr. Mohamed Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye uwanja  wa Ndege wa Dodoma. Picha na PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona Mh. Mizengo Pinda ktk picha(kulia) anamwambie Mzee JK (kushoto) ''bora umekuja mwenyewe maana hapa Dodoama mambo ni mazito''! Tumejaribu kuokoa jahazi lakini chombo kinazidi kuyumba. Jk anajibu' Mimi nakuamini Pinda mambo yote umeweza kusawazisha kabla sijatua''

    ReplyDelete
  2. nawashangaa hawa wajumbe vitu vidogo vinawashinda, ikiwa wanataka kujua watumie kura ya siri au wazi , si waangaulizwa wale wanataka kura za siri wasimame na wanaotaka kura ya wazi wakae , halafu wahesabiwe hii inahitaji uwe na akili nyingi? lakini sishangai sehemu kubwa ya wajumbe ni watupu kichwani hamna lolote ndio maana wametiwa humo kuongeza kura za kimamluki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...