Kaimu Katibu wa Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) akitoa maelezo ya Jumuiya yao katika uzinduzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Nchini Denmack(NCD) Bibi. Susanne Volqvartz ambao ni wafadhili wa (ZNCDA) akitoa salamu ya Jumuiya yake  katika sherehe ya uzinduzi wa  Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar ulifanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.

 Mgeni rasmin Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Muhammed Dahoma akizindua Jumuiya ya Maradhi yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) katika sherehe zilizofanyika viwanja vya Kibanda maiti Mjini Zanzibar.
Mgeni rasmin wakati mwenye bahasha katika picha ya pamoja ya viongozi ZNCDA na wafadhili wao kutoka Denmak.
(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO-ZANZIBAR).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...