Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.Picha zote na Othman Michuzi.
  Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (katikati) akitambulishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwidu,Mzee Mohamed Said kwa Bw. Chomiki kutoka jamii ya Wafugaji mwenye makazi katika kijiji hicho,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mzee Ally Mohamed Meta mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kampeni kwenye Kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli akitoa burudani kwa wananchi wakazi wa kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.

BOFYA HAPA KUONA TASWIRA MBALI MBALI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mzee amehudhuria mkutano huku kavaa msuli?!!Msuli hauvaliwi peke yake namna hiyo. Msuli unapaswa kuvaliwa na kanzu. Kwa maana unaweza kuvaa kanzu na msuli, au kanzu na suruali. Mafuruku kuvaa msuli halafu ukaingia mitaani.

    ReplyDelete
  2. Hivi anoni hapo juu ushawahi kuona vazi rasmi la Fiji?

    ReplyDelete
  3. si kweli,ami msuli kama unajua kuunguka wawezatembea nao popote bila la wasiwasi.hebu njoo znz ujionee

    ReplyDelete
  4. Huyu mpiga picha nampa credit.

    ReplyDelete
  5. c kweli. ntoto nndogo hujui siri ya nsuli. Tuulize cc mamwinyi! na ujue kampeni za siku hizi hazikosi timbwili hivyo nsuli na kaboka ndani tosha kabisa. Mwake mwake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...