"Ikipatikana Katiba yenye usawa wa kijinsia, tatizo la wanawake wanaojiuza litakwisha!" Hayo ni maneno ya mwanamke mpiganaji Bi Sophia Jonas alipozungumza na Super Woman Joyce Kiria kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku. 

 Fuatilia kwa makini mjadala huu kwa kutazama video hii hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwani waheshiwa wanajadili swala lingine zaidi ya serikali ziwe ngapi?

    ReplyDelete
  2. mdau wa kwanza kwani unadhani katiba yoote ni juu ya serikali ngapi tu?

    ReplyDelete
  3. Utata upo hapo katika idadi. Maana 1+1=2 na kwa kuzichambua kitakwimu utakuta ni kuwa panadaiwa serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar au nakosea wadau? kama nakosea naomba mnitowe mashimoni jamani.Ingawa Maalim Seif katika mkutano wake wa hadhara amesema wao hawatajadili serikali 2 isipokuwa watajadili serikali 3 wakati Raisi kikwete amesema kimtizamo kunauwezekano wa serikali ya Muungano ikafa kifo cha kawaida tu ama sio jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...