"Ikipatikana Katiba yenye usawa wa kijinsia, tatizo la wanawake wanaojiuza litakwisha!" Hayo ni maneno ya mwanamke mpiganaji Bi Sophia Jonas alipozungumza na Super Woman Joyce Kiria kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku.
Fuatilia kwa makini mjadala huu kwa kutazama video hii hapa
Kwani waheshiwa wanajadili swala lingine zaidi ya serikali ziwe ngapi?
ReplyDeletemdau wa kwanza kwani unadhani katiba yoote ni juu ya serikali ngapi tu?
ReplyDeleteUtata upo hapo katika idadi. Maana 1+1=2 na kwa kuzichambua kitakwimu utakuta ni kuwa panadaiwa serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar au nakosea wadau? kama nakosea naomba mnitowe mashimoni jamani.Ingawa Maalim Seif katika mkutano wake wa hadhara amesema wao hawatajadili serikali 2 isipokuwa watajadili serikali 3 wakati Raisi kikwete amesema kimtizamo kunauwezekano wa serikali ya Muungano ikafa kifo cha kawaida tu ama sio jamani.
ReplyDelete