Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Mhe. Lucas Kadawi Limbu (mwenye suti katikati) akilakiwa na wafuasi wa chama hicho baada ya kukagua kikundi cha ngoma muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa
Mhe. Limbu alifanya mkutano wa hadhara na kupokea wanachama wapya katika Kata ya Igoma Jijini hapa.Kushoto ni Kamishin wa chama hicho Kanda ya Ziwa Shaaban Itutu.
Katibu Mkuu wa cha Democratic For Change (ADC) Mhe. Lucas Kadawi Limbu akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Igoma Jijini Mwanza. PICHA NA MASHAKA BALTAZAR -MWANZA
Huyu ana cheo gani manake sehemu zingine kwenye vyombo vya habari wanasema ni mwenyekiti wa ADC hapa mnasema katibu mkuu, lipi ni lipi?
ReplyDeleteLimbu, Mwenyekiti wa Alliance for Change and Transparency Tanzania na Katibu mkuu wa Alliance for Democratic Change ! Bila shaka ni bingwa wa siasa na sheria zetu zimetulia!
ReplyDeletesesophy
He!Bendera kama ya chadema vile.Some CHADEMIC influence in Mwigamba???
ReplyDelete