Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye
mradi wa ujenzi wa tanki la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa
katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,
Saidi Mecky Sadik.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kina ameanza ziara ya siku nne mkoani Dar Es Salaam,akiwa ameanzia wilaya ya Ilala leo.lengo ya Ziara hiyo ikiwa ni Kuimarisha uhai wa chama,kukagua miradi mbalimbali ikiwa ni utejelezaji wa chama hicho.
Kinana akishuka baada ya kukagua tanki hilo litakalohudumia wakazi wa Tabata,zaidi ya Elfu 20 lenye ujazo wa lita 200,000.
Kinana akikagua soko la Tabata Kisiwani wakati wa ziara hiyo.
Mbune wa Ilala Mussa Zungu akizungumzia mradi wa ujenzi wa viwanja vya michezo kwenye eneo la Kidongo chekundu, wilayani Ilala
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akizungumzia mradi huo mbele ya Kinana.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...