Pichani ni Rais wa Kenya ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mmashariki,Uhuru Kenyata akiwa anapanda mti nje ya jengo la ofisi ya
makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mapema leo jijini Arusha wakati alipokuwa na
ziara ya sikumbili ya kutembelea makao makuu ya jumuiya hiyo.
Pichani ni Spika wa bunge la Jmuiya ya Afrika Mashariki,Magrethi
Ziwa akiwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Profesa Anna Tibaijuka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Uhuru Kenyata mara baada ya kutoka katika uwanja kupanda
miti(picha zote na woinde shizza,Arusha)
Wewe uhuru mbona unahepahepa!!!!!???? Nenda ikulu usalimie mzee mwenzako.
ReplyDelete