Mwenyekiti wa Bunge Maalumla Katiba,Mh. Samweli Sitta (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo,mjini Dodoma mara baada ya kuahirishwa kwa shughuli za Bunge hilo. Wengine ni Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia),Captain Mstaafu John Komba , Erasto Zambi na Diana Chilolo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Lazaro Nyalandu (kushoto) wakiwahi kuhududhuria mkutano wa Bunge Maalum unaoendelea mjini Dodoma leo.
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma
What a team! Learned, committed, fair, trustworthy, and delivering. He was very right to invest in you, and I have the honour, and indeed proud, to call myself your friend.
ReplyDeleteCONTINUE TRUSTING IN GOD and he will yet bring more of the best of you for His glory and for our country.
James