Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya leo mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akibadilishana mawazo na Mhe.Samweli Sitta.
Mhe. Anna Makinda akiteta jambo na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu wa wa Bunge la la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Thomas Kashililaakizungumza na baadhi ya wajumbe wa kamati ya rasmi ya kanuni za bunge kabla ya kikao kuanza jioni hii.
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni, Mhe.Tundu Lissu akijibu hoja zilizowasilishwa na Wajumbe wa Bunge hilo la Katiba.
Mhe. Hamad Rashid akichangia hoja.
Mhe Betty Machangu akichangia
Mhe. Hezekiah Wenje akichangia mjadala wa kanuni za bunge maalum leo.Picha na Deusdedit Moshi, Globu ya Jamii - Dodoma.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...