Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja
Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo
wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu.
Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao
ni wasambazaji bidhaa za LG, akifungua jokofu hilo mbele ya waandishi
wa habari ambao hawapo pichani. Anayeshuhudia ni Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia).
Afisa
Masoko wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania ambao ni wasambazaji wa Bidhaa
za LG, Grace Kavishe akiongea na waandishi wa habari kuwaelezea jinsi
jokofu hilo linavyoweza kufanya kazi.
Muonekano wa jokofu hilo kwa ndani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...