Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Mdhibiti na Mkuaguzi Mkuu wa hesabu, Ludovick Utouh, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu, pamoja na baadhi ya viongozi wa CUF, baada na kumaliza mjadala wao aliofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers Limited, katika ofisi kuu za CUF, Buguruni.
Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na mwandishi Ojuku Abraham wa Global Publishers Limited, baada ya mahojiano yaliyofanyika ofisi kuu za CUF, Buguruni. Picha na Salmin Said, OMKR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...