Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naona pakiisha patapendeza sana ,nilikua na wazo hio barabara kuanzia pale makutano ya Tecnical College na CBE hadi Kimara mwisho paitwe Jakaya Mrisho Kikwete Road na kuatoka pale ndio iendelee kuwa Morogoro Road...ili kumuenzi mheshimiwa rais anaetarajiwa kumaliza kipindi chake 2015 na kumpa heshima na shukrani kwa kutengeneza miundo mbinu mpaka usawa huu kwa sasa..Kwa kweli amejitahidi mno nimefika bongo juhudi za serikali ya awamu ya 4 zinaonekana sana...nawakilisha kwako prof.Michizi.
    mdau wa UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...