Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa
mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni mkurugenzi wa kamåuni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria kwenye uzinduzi jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa
mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji
cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...