Home
Unlabelled
back by popular demand: uzee mwisho wake wapi vile....?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal naona unaukwepa utu uzima
ReplyDeleteyaani nimecheka sana, haya michuzi umetuonysha mpaka na ukivuka tu...duh uzee tayari.
ReplyDelete
ReplyDeleteIn this one, I give you a credit for being creative
Hahahhahaaaaaaaaaaaa ankal umedata!!!
ReplyDeleteAnkal weka utani pembeni kwanza.JK anaweza kutusaidia au wadau wa Lugha ya kiswahili.Hivi Chalinze Mzee=OLD CHALINZE?au ina maana ya kitu kingine?
ReplyDeleteDavid V
Mmmmh kidhungu
Deletehaaahaaaha mbavu zangu mie weee ankal ni balaaa ...kwa hio wote huko mjini ni ma honey na ma beibee....c mchezo.
ReplyDeleteJina tu na halimaanishi hilo la umri,ankal omba muongozo
ReplyDeleteWhat about old Moshi and Old Korogwe?
ReplyDelete
ReplyDeleteWe anony uliyecomment ...
"{Jina tu na halimaanishi hilo la umri,ankal omba muongozo" ...
HIYO UNAJUWA WEWE SI HATUJUI NA TUMESHAMWELEWA ANKAL
Ushambiwa uzee mwisho Charinzee, mjini kila mtu baby. baby, kwani nani? anautaka uzee siku hizi, si unaona kule hoolywood wanavyoangaika na kufukuza uzeee, hapo chacha. kila mtu ni baby baby ndio mpango mzima
ReplyDelete
ReplyDeletetehe tehe tehe ... kumbe na wewe ankal umeshanunuliwa na ridhiwani tehe tehe tehe naona uko kwenye kampeni jimboni . tihi tihi tihi
Watu banaa hata hawamuelewi ankal wanafikiri eti ni lugha gongana...mwenzenu anamaanisha uzee mwisho chalinze....hizi division 5 ni majanga!!!
ReplyDeleteankal hebu rudin magazetini. Ubunifu wako unahitajika kule,mie kila siku napita hapo na kuona kibao hicho lakini hata siku moja sijawaza ulivyowaza....
ReplyDeleteAnkal we utakuwa unavuta bangi.
ReplyDeleteEnhhh Makubwa!
ReplyDeleteHicho Kibao ni Kazi ya Computer Graphics Editing ama ni uchapaji wa Mamlaka za Tanroads?
Muujiza huo na Rufaa hiyo ya Uzee kuishia Morogoro utawezekana endapo Jimbo la Chalinze litakuwa limempata Mbunge wake mpya Kada wa CCM Ridhwani Kikwete !!!
ReplyDeletekazi kweli kweli
ReplyDeleteANKAL MSTARI WAA UZEE NI MOROGORO KWANI SISI WAZEE WA CHALINZE NI MABABY TU!!
ReplyDeleteha ha ha Ankal you made my day!nimecheka sanaa leo
ReplyDeleteSorry Ankal....huo uzee kama wameukana Chalinze basi from Chalinze Junction ingia upande unaoelekea Segera....upeleke huko ukautafutie wenyeji watakaoupokea....huku Morogoro BIG NO!...Chezeya!
ReplyDeletemjini wazee wote ni sugar-mamy na sugar-dady
ReplyDeleteHili ni Jimbo jipya linajengeka kimya kimya nalitakuwa na maendeleleo kupita maelezo .. we jua ndio Picha hiyo Karibu uamie sasa bila sito.. Jina na Jimbo ndio TATARI HILO...
ReplyDeleteUkiona unaitwa baby fahamu huyo anataka kukuibia kweupe na kinachofuata ni mzinga!!
ReplyDeleteMpaka huu uwekwe ndani ya Katiba Mpya
ReplyDelete