Hapa ni Morogoro karibu ambapo mpunga umeanikwa juani kabla ya kukobolewa. Imeelezwa kuwa mavuno ya mpunga mkoani Morogoro mwaka huu yamekuwa mazuri na biashara inashamiri. Bei hadi leo .tunapita hapo ilikuwa shilingi 1,300/- kwa kilo moja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu,home sweet home mjomba Michuzi na wadau kwa ujumla karibuni sn mjionee maajabu ya mkoa wetu,mjomba michuzi Morogoro sio mpunga tu kunamambo menngi sn ya kujivunia,ndio maana wenyewe tunaita mji kasoro bahari au nusu tokyo.

    ReplyDelete
  2. ukiwa na chakula/ food security mambo mengine ni matokeo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...