Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. KAWAIDA NYAMA HUWA CHACHE NA HATA HIZO ZILIZOPO HUWA HAZITAFUNIKI KAMA PICHA YA KWANZA INAVYOONESHA...KTK SHEREHE NYINGI ZA ZAMANI.....HAHAHAHAHA

    ReplyDelete
  2. Ankal unakamua mafuta hapo na mfuko wa rambo lazima ulikuwa nao pembeni

    ReplyDelete
  3. Hahahahaha!

    Mjomba kinacho nickekesha ni ktk Picha ya kwanza juu: HICHO KIBANDIKO CHAKO KICHWANI KINAONEKANA KUWA NA KINGO PEMBENI KTK MDUARA WAKE WA MZUGNUKO WA JUU UTAFIKIRI UNATAKA KUKINGA MAJI YA MVUA YASIKUFIKIE USONI!

    ReplyDelete
  4. Mjomba Michuzi ndio maana wewe imekuwa ni vigumu sana kuhamia na kuishi nchi za Majuu Ulaya na Marekani.

    Ni kwa sababu ya hii Mipango ya Ratiba za mara kwa mara za ubwabwa wa shughuli !

    Nina wasiwasi Ankali nikikusachi kwa haraka haraka mfukoni utakuwa una Notebook yenye Ratiba ya tarehe, muda na sehumu za Shughuli mbalimbali zenye ubwabwa.

    ReplyDelete
  5. Neema hii ya Mpunga wa Sherehe imetoweka!

    Ankali nadhani hapo ilikuwa ni miaka kadhaa nyuma sio siku hizi za karibuni.

    Ni vile waandazi wengi wa shughuli siku hizi wamekuwa mabaghili sana, unaweza kukuta watu ni Matajiri lakini ktk shughuli wanaanda Kahawa, Visheti Juisi na Biskuti badala ya ubwabwa !!!

    ReplyDelete
  6. Tumeiga utamaduni wa watu tu, ingawa kabla ya ukoloni tulikuwa twala kwa mikono tu. Kwa sasa wale wa dini iliyotoka uarabuni wala kwa mikono,kwa sababu uarabuni chakula chao kwa sana ni CHAPATI. Ni dhahiri kuwa ni rahisi kula chapata kwa mikono. Kwa wale wanaofuata dini toka magharibi wala kwa vijiko, uma na visu; kwa sababu ndo utamaduni wa Magharibi.

    ReplyDelete
  7. Hahahah hapo chini nawaona wadau ankal na ze fulanaz danda na muya siku ya mnuso wa muya Pale kuch Hall maeneo ya mjini ,Mambo ya biriyan sio mchezo vijana wa mjini wanaita punje Hata kuku akitupiwa lazma umnase.....

    ReplyDelete
  8. Mmmmmh Ankal hiyo shughuli ya chini kama kawa unaonekana kama umezamia vile mana ze fulanazz juu ya kanzu nyeupee....na walivyokubana sasa hata mpunga hauendi vizuri, lakini pouwa za fulanazz haicgafuki na rosti la biryani ..lol !! ndio naamka huku UK umeninifurahisha asubuhi subuhi na hizi taswira naamimi Monday itaenda vyema. Asante sana.....

    Mariam.M

    ReplyDelete
  9. Hapo chini.........mdau Said Muya alikuwa anachukua jiko chini ya uangalizi wa Daud Danda na Ally Gugu, anko Michuzi hakuzamia hapo alikuwa mgani mualikwa kwa kazi maalum!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...