Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Loooo! Nondo yenyewe ukiipata, kazi hakuna. Ama kweli, ng'ombe wa masikini hazai.

    ReplyDelete
  2. HAHAHAHA saa 11:40 jamaaa hoi, duh

    ReplyDelete
  3. Bless him

    ReplyDelete
  4. Acha kukatisha tamaa! kwani kusoma maana yake lazima uajiriwe?

    Mvivu wa kufikiri!!!!

    ReplyDelete
  5. Ha ha ha ha ha !!!!

    ReplyDelete
  6. Dah.....sio kabisa yaani...tulikua tukijiumiza sana.......enzi hizo......kuna mshkaji mmoja enzi hizo akilala kama huyu janki ...ukimfunulia page ingine basi atasoma tu bila mazingatio.....ila uzuri wake....performance ilikua ya juu sana na ushindani baina ya shule na shule ulikua mkubwa mno....likizo wote tunakutana pamoja....day schools vs boarding school....

    ReplyDelete
  7. Na mara analipiga 'kombolela' hilo beseni. Hapo ukimkolea fofofo 'past papers' zote zitadondokea kwenye beseni...lol. Kwa hali hii mpaka uje uitie mkononi, basi na 'ngama' ishakutoka. Pole kijana, mwanzo mgumu, usikate tamaa utafika unapotaraji.

    ReplyDelete

  8. Nakumbuka enzi hizo- unamka saa kumi ya asubuhi kusoma na miguu yako kwenye maji ya baridi- Lyamungu Secodary school na Dar es Salaam Technical college. Bahati nzuri-umeme ulikuwepo masaa 24. Huyu jamaa ukiangalia vuzuri anajitahidi sana kujielemisha na kufaulu matihatini-ambalo ndio jitiahada ya kila mwanfunzi. Kwa bahati mbaya, mazingara yake ni kwamba anatumia taa yenye mafauta kerosine ambayo inatoa gas aina ya carbon monoxide ambayo haina harufu na inamfanya mtu alale ua kufa bila kufahamu. Watoto wengi wanao lala kwenye nyumba zenye kutumia mkaa (moshi) au kutumia mafuata ya taa, wanamka wamechoka sana, masikio yemeziba kwa moshi mweusi-shuleni wanasema ni wavivu na hawasikii. Hata watu wazima wanaoishi kwenye mazingira hayo wanachoka haraka sana na wana matatizo ya kufuata utaratibu au uongozi wa kazi.
    Haya hii ya mazingirao yanapunguza maendeleo ya watu pamoja na uchimi wa nchi.

    ReplyDelete
  9. Elimu sio vita na huwezi ukasoma na kuelewa kama akili imechoka!

    ReplyDelete
  10. enzi za analojia...kwa sasa sidhani mambo iko hivi tena..

    ReplyDelete
  11. umenikumbusha mbali sana kaka michuzi

    ReplyDelete
  12. yapo sana haya mambo kwa vijijini kuna umeme wewe alafu huyo jamaa kwani ni mbali hapo si ni pale masaki ya maneromango hapo we hujui tu

    ReplyDelete
  13. Yaani hate saa 6 bado Yukon Hopi vile,bora angelala make saa 10 Alfajiri
    "Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe"

    ReplyDelete
  14. Kusoma kwa nmna hiyo , yote Tisa Kumi ni pale,

    Halafu Matokeo ya Mtihani wa Taifa Msongolekaji wa kusoma kwa kukesha usiku kucha miguu ktk beseni la maji na taa ya chemli ANAJIKUTA ANA DIVISHENI ZIRO!!!

    Je, si ndio wengine huamua kujiua?

    ReplyDelete
  15. Usomaji wa tabu kama huo ndio unao zalisha Mafisadi na Wahujumu Maofisini!!!

    Ni kuwa jamaa akihitimu masomo akifika Ofisini atakuwa mbaya sana akikumbuka jinsi alivyosoma kwa tabu ni wazi atahujumu saaana!

    ReplyDelete
  16. Ama kweli walisema 'ELIMU NI KAZI'!

    Lakini kla zaidi kwa kutumi mwanga wa Chemli ya mafuta ya taa inakuwa 'ELIMU NI KIAMA'!

    Mdau wa Pili hapo juu hapo ni karibia na Majogoo Afajiri majira ya saa 11 Kasoro dakika sihirini hivi.

    Jamaa amekesha akisoma !

    ReplyDelete
  17. Kwa mazingira ya ki-Bongo ya usomaji wa mtalimbo wa namna hii jamaa unaweaza kuta AKAZUNGUSHA (Kufeli kwa kupata Sifuri) KTK MTIHANI WA NESHINO lakini kama angekuwa Majuu jamaa ni Bonge la Jiniazi kwa usomaji wake!

    ReplyDelete
  18. mh we Mdau Said,
    Km wewe waishi vizuri usifikiri ni wote (Aliyeshiba hamjui mwenye njaa)..Huko vijijini kuna watu wanashida hivi hivi...na hata hapa mijini ktk zile nyumba za mabondeni...Mshukuru Muumba kukupa hali nzuri ya maisha..

    Nawaombea wenye maisha kama haya Mola awafanyie wepesi inshaallah wafanikiwe ktk masomo yao..Wanapitia wakati mgumu sana. Dah...inahuzunisha.

    ReplyDelete
  19. Daaaah! all the best bro mungu yupo anaona haya magumu tunayopitia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...