Mhe. Mutaza Mangungu mbunge wa Kilwa kwa tiketi ya CCM akiongea na Vijimambo mchana wa Jumamtatu March 17, 2014 kutoka Dodoma na kuelezea faida ya Uraia pacha. Msikilize hapo chini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mh, Murtaza na Dj Luke Joe wameshindwa kusema kuwa Mtanzania anayeishi nje mwenye uraia mmoja wa Tanzania wana-fursa sasa na WaTanzania wanaoishi Tanzania.

    Lakini ukishapoteza vigezo kwa sheria za sasa hivi ambazo hairuhusiwi kuwa na uraia pacha kuna utaratibu wa kupata uraia wa ki-Tanzania kwa kufuata sharia zilizopo sasa hivi.

    Hivyo hakuna mkanganyo wa uraia kama wana-diaspora watazisoma na kufahamu masharti na sheria za Tanzania.

    Ni muhimu wana-diaspora kuacha kukwepa kwa makusudi taratibu za kupata uraia uwe ni mgeni au mtanzania aliye nje. Suala hili halihitaji uraia-pacha/ dual citizenship. Maana sheria zipo wazi za kitu gani wafuate ili wapate uraia wa Tanzania.

    Mdau
    Pasipoti Moja Tu

    ReplyDelete
  2. Muheshiwa Mutaza, nakupongeza kwa uelewa wako mkubwa wa hoja hii ya urai pacha. Ningeomba umsaidie mbunge wa diaspora kutusaidi kuwaelimisha wabunge wengine ambao wana uelewa hasi wa swala hili. Tusikubali Tanzania kuwa ya mwisho kwa kila kitu, nikama vile hatuwezi kufanya maamuzi yetu wenyewe bila kuangalia kwanza nani ameshafanya hivyo!

    Mdau wa Ng'ambo

    ReplyDelete
  3. Economy has got Opportunity costs and Sacrifice costs!

    Mheshimiwa Mangungu ndugu yetu umetoa FAIDA ZA URAIA PACHA je ni vipi mbona hujatoa HASARA ZA URAIA PACHA?

    Watanzania wengi wa kawaida tu, tunafahamu sana ju ya pande zote MBILI ZA SARAFU:

    Hivyo tunategemea wewe kama Mbunge utatoa kote kote na sio kuegemea upande mmoja tu wa FAIDA ukaacha kutoa HASARA.

    ReplyDelete
  4. Mh. Mangungu, heshima yako mkuu. Tupo pamoja. Mdau Chiberia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...