Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akifunga mafunzo ya siku tatu kwa washiriki juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa TradeMark Afrika Mashariki kupitia Tanzania Asaac Mtwale akiwashukuru washiriki wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru bara maada ya kufungwa kwa mafunzo hayo katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum (hayupo pichan) alipokua akifunga mafunzo hayo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum (wakatikati waliokaa) katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru yaliyofanyika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar.
(PICHA NA MAKAME MSHENGA WA MAELEZO ZANZIBAR).
tunaomba serikali iwe wazi ituwekee list ya vitu ambavyo ukiingiza nchini kutoka nje havina ushuru , manaake hawa akina TRA wanafanyaga ushenzi wakati mwengine wanakulipisha vitu kumbe havina ushuru , hii kuficha ficha ya serikali inaonyesha ina nanihii ili kuwananihii wananchi
ReplyDelete