Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sheria na Katiba mbovu huzua migogoro.

    Mwekezaji atadai ana hati ya umiliki kwa kutumia sharia na katiba mbovu zinazopitishwa na wabunge hao hao.

    Hivyo ni muhimu zoezi la kuandaa Katiba Mpya lifanywe kwa umahiri mkubwa ili kuondoa migogoro kati ya wawekezaji na wananchi walio karibu na maeneo yao ya ardhi.

    Mdau
    Katiba Mpya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...