Madilu System "Ya Jean"
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkuu umegusa gwiji la muziki.Hii Album "ilifunika" sana lakini kuna wimbo mmoja mzuri kwenye album hii ulimletea matatizo Madilu na Utawala wa Congo ukapigwa marufuku DRC-Wimbo Mort Vivant Somida(kwa wanaofahamu kifaransa na kilingala wanaelewa alichokiimba).
ReplyDeleteAnkal ukipata muda tafuta album yake aliyoitoa mwezi mmoja kabla ya kifo chake 2007:"La Bonne Humeur"haikutamba sana TZ lakini ilikuwa moto Congo.Vibao kama Bruno Dika,aminata,vincent,Tonton gigolo,nk
David V