
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni
nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake havijajulikana




Askari wa kikosi cha Zimamoto wakiwa kazini

Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la tukio

Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto huo katika nyumba za polisi Chumbageni,jijini Tanga hapo jana

Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.

Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.
Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)
Tanga bwana,
ReplyDeleteJamaa wa "Fire" si wapo upande wa pili tu hapo.? Jamii inawashangaa!
Umeona eeh. Yani dk 5 max kwa miguu ufike fire toka kwenye hizo nyumba. Hivi kila kitu mpaka iwe kwa hisani ya watu wa......... 2014 hii jamani hiyo nchi ibadilike sasa kha!
DeleteFire iko nyuma tu ya Hizo nyumba za Polisi.Mdau sio Tanga tu ndio Bongo yetu hiyo usijekuskia magari hayakua na maji.
ReplyDeleteunaweza kukuta walikuwa hawana mafuta au maji.
ReplyDelete