Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake havijajulikana


Askari wa kikosi cha Zimamoto wakiwa kazini
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la tukio
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto huo katika nyumba za polisi Chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.

Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tanga bwana,
    Jamaa wa "Fire" si wapo upande wa pili tu hapo.? Jamii inawashangaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh. Yani dk 5 max kwa miguu ufike fire toka kwenye hizo nyumba. Hivi kila kitu mpaka iwe kwa hisani ya watu wa......... 2014 hii jamani hiyo nchi ibadilike sasa kha!

      Delete
  2. Fire iko nyuma tu ya Hizo nyumba za Polisi.Mdau sio Tanga tu ndio Bongo yetu hiyo usijekuskia magari hayakua na maji.

    ReplyDelete
  3. unaweza kukuta walikuwa hawana mafuta au maji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...