Pursuant to our call for the right of dual citizenship for all Tanzanians, the Tanzanian Communities in the United States of America and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) have agreed to file a petition for this cause to the Constitutional Review Parliament that is now taking place in Dodoma, Tanzania through our Representative Honorable Kadari Singo, who is also a member of the our Diaspora Community and who resides in California. With the highest honor, we invite you to support this petition.

Honorable Kadari Singo is now attending the Constitutional Review Parliament in Dodoma.  After consultation with other members of the Parliament and in seeking their support, and after thorough deliberations on how to bring the issue of dual citizenship to the attention of all members of the above-mentioned Parliament, it was decided that a workshop, training or conference should be arranged to lobby to the members of the Parliament and inform them of the necessity and urgency of their supportive votes when the motion of dual citizenship will be tabled.

For that conference, we will need experts on this issue from other parts of Tanzania and abroad (including International Office for Migration - IOM) to attend at a very short notice. We will also need an excellent venue and some refreshments. Moreover, the experts on this issue will need to be paid. Hence, we are looking for at least $25,000 dollars to cover expenses for this event. The plan is to run a workshop/seminar for 3 days targeting different groups of MPs for each day.

We are certain that if the members of the parliament are made to understand our motion, it will be easier for them to vote for dual citizenship. Dual citizenship is an important right that has been denied to Tanzanians since 1964. Thus, we hope that the workshop or conference will provide the members of the Parliament with an opportunity to understand the overall benefits of dual citizenship and why their votes for this cause are imperative. Moreover, we invite you to think about your interests, family and opportunities offered by dual citizenship.

For these reasons, we ask you to support this cause by giving any donations to the following account:

Using Debit/credit cards click here:  http://www.gofundme.com/7jtyuw
The funds obtained will be used to arrange the above-mentioned workshop or conference in Dodoma, Tanzania. We need at least $ 25,000 so you may contribute any amount you can afford. If every Tanzanian in the United States contributes at least $50, we will reach or surpass the amount of $ 25,000.
We are grateful that you are supporting dual citizenship for Tanzanians outside their country and we hope through your support, we will be able to achieve this goal.

Tanzanian Communities in the United States and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mkataa pema pabaya pana mwita!

    Uraia wa Tanzania bora tuwape Wahindi ambao ni Raia wapya kabisa wanaoomba kwa kufuata Sheria na vigezo kuliko ninyi Waasi ambao mliwahi kuwa Watanzania halafu mkaupoteza Uraia.

    Ndugu zetu Madiaspora, mtapiga ngoma hadi itapasuka.

    Mantiki ni ndogo sana, MLIKUBALI KUPOTEZA URAIA WA TANZANIA KIRAHISI SANA TENA BILA HATA YA WOGA.

    Sasa leo mnapigania 'Citizenship rights' gani wagati Utanzania wenu mlisha uharishia na Pasipoti ya Tanzania mlishachana zamaaani!

    Si ndio ninyi mliukana Uraia wa Tanzania na kukubali kupoteza Uraia ili muweze kupata Sheri za kukaa Majuu?

    Sasa leo mnahangaikia nini?

    ReplyDelete
  2. Sherehe mbili za sehemu tofauti zilimchana Fisi msamba!

    MWATAKA HUKU NA HUKO,

    TANZANIA DAIMA PASIPOTI MOJA!

    ReplyDelete
  3. What rights are you seeking while you breached the Law before?

    Can't you know that according to Tanzanian Laws denying Tanzanian citizenship on attempting to gain foreign nationality was an offence?

    You need to be imprisoned before being accepted again into NOT DUAL CITIZENSHIP BUT ''UNI TANZANIAN CITIZENSHIP'' AGAIN!

    Tanzania for NO DUAL Citizenship forever!

    ReplyDelete
  4. NO, NO , NO,!

    TO DUAL CITIZENSHIP!

    ReplyDelete
  5. Wengine mlipokuwa mnatafuta Sheria huko Majuu mlikubali kuitwa Warundi, ''Mabanyamulenge'' wa Rwanda, Wanubi, Wa Kongo na Wasomali!

    Kitu ambacho hakuna ambaye angekubali aitwe hivyo akiwa hapa Bongo!

    ReplyDelete
  6. Nitafanya yooote lakini BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA, UJAMBAZI, UCHAWI NA KUUKANA URAIA WA TANZANIA?

    Hivi kweli ninakana kuwa Mwananchi wa Raisi Makini Mhe. Jakaya Kikwete?,,,moyo wangu unakuwa mzito sana ninakosa ujasiri huo.

    Hapana, bora nife masikini!

    ReplyDelete
  7. Hamna kitu hapo, kama kweli mnaipenda Tanzania rudini nyumbani tujenge nchi yetu kwa pamoja. Wengi wameishi nje ya nchi zao kwa vibali/permit na kuendelea kuijenga nchi yao. Maendeleo unayofaidi huku marekani na ulaya yamejengwa na wananchi wa nchi hiyo wewe unanyonya kiulaini bila jasho. Kwanini msiombe uraia wa somalia na tanzania, ili fedha na utaalamu wenu uweze kuzijenga nchi hizo masikini. Uwepo wenu amerika na ulaya hautuongezee chochote katika pato la taifa linalotokana na mboga za majani tunazolima kwetu makete, nkasi, mpanda, kiteto etc. Hamkupokwa/denied uraia bali ulikataa mwenyewe ili ule walivyochuma waamerika. TULIA NA UAMERIKA WAKO WAZAZI WAKO KAMA NI WATZ UTAWAPA POSHO KWAKUWA NI DAMU YAKO FULSTOP.

    ReplyDelete
  8. Mnapata tanu ya nini?

    Pana Usajili wa Dirisha Dogo wa Dual Citizenship, tuna Afrika ya Mashriki yetu Uganda, Kenya na Rwanda ambako huko wanaruhusu Uraia Pacha.

    Mngeomba Uraia Pacha kwa Usajili wa Dirisha Dogo huko Uganda, Kenya na Rwanda na sio Tanzania!

    Tanzania daima Pasipoti moja!

    ReplyDelete
  9. mnawalaumu kuukana uraia wa bongo wakati mliweka sheria ya kuwasukuma kuukana?

    ReplyDelete
  10. Mi sijui siku nikiukana uraia wa bongo kama ntatamani hata kunusa harufu ya bongo.

    ReplyDelete
  11. Hawa jamaa kama wayahudi, wamekombolewa toka utumwani misri, wanafika nchi ya ahadi, wanaanza kukumbuka vitunguu vya misri.

    ukifika nchi ya ahadi hamna kuangalia nyuma.

    ReplyDelete
  12. Wizara husika mbona hamuwanyamazishi hawa watu?! **** mko wapi tumieni assets zenu kuwanyamazisha hawa watu kwa muelekeo bora wa nchi yetu.

    Uraia wa nchi mbili ni hatari kwa nchi yetu. Ukizingatia tuna maadui wengi kwa sasa kama Malawi na Rwanda wakituzunguka ambapo ni raisi kwao kujipenyeza na kuendelea na Espionage zao na kutuzoofisha.

    Michuzi kama unaipenda Tanzania then usiiminye msg hii.

    ReplyDelete
  13. Wanyalu mnajulikana kwa roho ya korosho hasa kwa wabongo wenzenu. WENGI mnaopinga uraia pacha ni kwasababu mnashika nyadhifa bila kuwa na vigezo mnaogopa wasomi toka nje kuja kuwafunika bovu. lakini MUDA ndio adui yenu. Bob Marley alisema "Time will Tell". Hamuwezi kuzuia maendeleo hayo yaliwashinda wazungu nyie ni njia tu. Narudi na PhD yangu nakukomalia hapo ofisini mpaka kieleweke. Tutabanana hapa hapa nje nilienda kuchukua nyenzo tu.

    ReplyDelete
  14. Madiaspora wenyewe wanadai wapewe Uraia na Pasipoti ya Pili zaidi ya Pasipoti walizonazo huko Majuu ili waweze kuja kuwekeza!

    Enhhh hicho si kituko cha mwaka?

    Halafu wanachangishana USD 25,000 ili waweze kuitafuta Sheria na Haki yao, hivi Haki inatafutwa kwa fedha?

    Tuna wasiwasi mna Ushiriki wenu ktk maendeleo ya Tanzania kama leo hii ndio mna changishana waziwazi badala ya kwaq siri kwa suala ambalo minaonyesha wenyewe hampo vizuri Kimshikamano...mtawezaje kuijenga TZ?

    Hivi Wawekezaji wenzenu hasa wa Sekta ya Gas na Oil walioleta US$ Billions tuliowapokea tena wengine Waafrika wenzetu kama Aliko Dangote wa Nigeria mbona hajadai Uraia na Pasipoti ya TZ?

    ReplyDelete
  15. SASA LAKINI NAONA KAMA WOTE MNAOUTAKA URAIA DUAL NI KAMA MACHIZI SI MLIUKANA UTANZANIA KWA KIAPO ? SASA LEO VIPI MMEKUWA HIVYO? HATUWATAKI LAKINI TANZANIA NI KWENU KWA MAMA YAKO NA NDUGU WENGINE, UNAKARIBISHWA WAKATI WOWOTE UJA HUKATAZWI KAMA UNA HITAJI VIZA UTAOMBA KISHERIA NI 3 MONTHS NA POSSIBLE RENEWEL.
    NYIE NI KNIA NANI MPAKA MUWE NA URAIA WA NCHI MBILI NENDENI HUKO BURUNDI .SOMALIA RWANDA, SOUTH SUDAN MLIKOOMBEA UKIMBIZI KWA KUJIFANYA MNAMATATIZO YA SIASA NCHINI KWENU, HATUWATAKI HATUWATAKI NA WATANZANIA WOTE PINGINE HILI SWALA. WAKOME KABISA .

    HAWA WATU SI WAZURI NI WATU WA KUWAOGOPA SANA KAMA UGONJWA WA UKOMA

    ReplyDelete
  16. Watu wenye roho mbaya utawaona kwa maneno yao, Kiongozi wao shetani. Wanaongea utadhani kweli wanachokisema bila woga. Wacheni roho mbaya nyie wabongo sote ni wamoja. SMH!
    Mmbongo.

    ReplyDelete
  17. Mawivu matupu. Thread nzima inaonyesha watu hawaelewi wanachoongea zaidi ya kutumia majazba

    ReplyDelete
  18. Mdau wa March 20, 2014, ulieandika "Mawivu matupu...." Nakubaliana na wewe. Naona jamaa Bongo wivu, fitina, roho mbaya zimetujaa jamaa wengi wanaondika kuukana uraia pacha humu. Sababu wanazotoa ni pumba kabisa. Mie nafikiria ni watu wachache kwa sababu wanazozijua wanarudia kuandika hayo hayo ili waonekane kama kuna watu wengi wanaopinga. Na jamaa wa Ujerumani unaesema una Masters, kusoma sana siyo elimu kwanza, kwani naona umekosa busara(critical thinking). Unadhani kwa vile wewe uko poa basi wenzio wote wana maisha kama yako?(Breaking news-kama kweli huko Ughaibuni?!!!!,kitu ambacho siamini(MWONGOO),basi ujue wenzako wanaongea Pumba humu, hawakutaki na wewe vile vile.) Nasema siamini kuwa huko Ujerumani na umesoma kama unayojinadi, kwa sababu mawazo yako uliyosema humu yako chini ya kiwango cha mtu aliyesoma Sekondali Ujerumani. Nadhani labda ni wale jamaa mnasemaga, "Bongo kama Ulaya vile"lakini hatujawai kuiona hiyo Ulaya. Naomba mtu kama unaweza kusafiri Magharibi tusafiri kwani ni elimu tosha.

    Mmbongo Chiberia

    ReplyDelete
  19. Ebu fikiria it were you, born out of TZ, of a Tanzanian Father and the other of another Nationality(Uganda).

    Raised there by your Mother and you live knowing your other bros/sis/relatives in that country for over 22 yrs.

    Can u just imagine how hard it would be to totally walk out of them?

    I think you would deserve to be given your natural rights of being a citizen of both right-isn't it?

    You never asked GOD you wanted to be like that. It just happens!

    I think it's good to be considerate enough to mankind and keep certain hurting words that come out of our mouths! You never know what tomorrow has for kaka!

    edumushi@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...