Home
Unlabelled
raha ya vijijini...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio maana huzeeki kula starehe za kijiji huku ughaibuni tukivipata hivyo vimejaa madawa!!
ReplyDeleteAnkal,kuuvuna muwa sio kuungowa na mizizi yake. Hukatwa ili miche myengine ihuwike. Au hupendelei na wengine kuja kuupata utamuuuu.
ReplyDeleteLabda ughaibuni ya afghanistan,i live in USA and fruits r juat as natural as they could get,acheni uongo
ReplyDeleteMbona hukuvaa kauka nikuvae yako leo?
ReplyDeleteKijijini kungekuwa na nyumba nzuri umemme na maji, mvua ikinyesha chakula fresh kipo.
ReplyDeleteAnkal naomba kuuliza,,,, huo Mua ume ungóa au ume uchuma?
ReplyDeleteAnkali unatia hasara. Wewe umengoa kabisa. Muwa unakatwa na kuacha shina lake ili liendelee kuzaa.
ReplyDeleteWewe mdau namba tatu huko US hakuna hivo vitu fresh unavyotutambia.
ReplyDeleteVimewekwa madawa vikue vizuri na vionekane ni fresh, kama una ujuzi wa kilimo utaelewa hivyo.
Huyo mdau wa tatu Ame comment ili kuonyesha na yy yupo States; But in fact chakula fresh ni moja ya vitu ambavyo wadau wa Ughaibuni tunavikosa. Nikiwemo mm mdau wa Canada.
ReplyDeleteNukuu"Kijijini kungekuwa na nyumba nzuri umemme na maji, mvua ikinyesha chakula fresh kipo."
ReplyDeleteWewe kaa tu huko, watu wanajenga vijijini kwao na ni kuzuri.
LABDA NI KUULIZE UNATOKA KIJIJI GANI? UNACHEKESHA KWELI.
Haya ndio mambo yanayotufanya tutake raia mbili ili tufaidi kotekote.....wee miaka sita sasa sijala mua...unafanya mchezo nini...
ReplyDeleteAnkal,kule uswahili wanasema "Tam ya muwa kifundo" hivi mswahili wewe umeligundua hilo . Kama bado basi ule kwanza ukesha libainishe hilo ankal.
ReplyDeletemuwa na mambo ya uraia pacha wapi na wapi? Kama una uraia wa nchi nyingine bado ni ruksa kuja bongo kutembea au hata kuishi (wapo raia kibao wa nchi nyingi wanaishi kwa vibali)sasa wewe iweje miaka sita hujatembelea bongo na unaanza kulaumu kuwa inatokana na kukosekana kwa uraia pacha???
ReplyDeleteHuu si uvunaji ni uharibifu. Muwa unakatwa siyo kung'olewa
ReplyDeleteUncle Issa, wajuwa ,fani za Muwa ni nyingi.Jee wewe huo wakwenda kuutengeneza Juice, au wakusudia kuufanya sukari gulu au gendeli au uwaumenya tu ukesha uufyonze lakini kuwa na hadhari utam usijeukakumwaikia tu maana raha ya muwa ndio itapote.
ReplyDeleteBasi Ankal nikushangaze.Nguruwe wanapenda sana miwa.Lakini waiila huwa hawasimami,isipokuwa huila au kuifyonza utam wake wakiwa wamelala chali,ili kila tone la utam liwafike ndipo yaani lisimwaike.Amini huwalala Chali,chali hasaaaaaaa!hahahaaa.
ReplyDeleteKWA MHUSIKA,
ReplyDeleteKwa Kiswahili barabara, Mtu hachumi muwa...bali anatoka kuvunja muwa; kukata muwa au kuvuna muwa.
Kazi njema.
Mjomba Michuzi,
ReplyDeleteAfadhali yako umebakia kuwa na Utanzania wako!
Angalia hapo ahhh mwenyewe upo kule Gairo-Morogoro Picha ya juu unakula ndizi mbivu na Picha ya chini mwenyewe na muwa wako begani upo shamba Kijijini!
Neema ya Utanzania na maisha simple ambayo ndugu zetu wengi walisha ipoteza na sasa wanaililia wakati maji yamesha mwagika na hayazoleki!