Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi mapendekezo ya Jaji Mstaafu Warioba yalikuwa na makosa? Mbona kumekuwa na ukosoaji mkubwa wa kilichowasilishwa?? naomba busara zenu wanajamii!!

    ReplyDelete
  2. pole jaji warioba

    ReplyDelete
  3. Kutokana na hotuba hii ya JK na ya jana ya Senator Wako,dunia inasubiri tufanye uamuzi 'fulani' wa kijinga itucheke.Wajumbe kuweni makini sana.

    David V

    ReplyDelete
  4. Ankal, hima tuwekee video clip nzima ya hotuba hii maana sie kusoma kurasa 24 za hotuba hii muhimu ni changamoto kubwa hasa hasa kutokana na kubeba box masaa 18 kwa siku, raha ni kusikiliza na kuangalia video clip huku umejilaza ktk sofa sawia tukipata mapumziko baada ya kazi ngumu.

    Mdau
    Diaspora

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...