Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AKILIHUTUBIA LIVE BUNGE MAALUM LA KATIBA HIVI SASA MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi mapendekezo ya Jaji Mstaafu Warioba yalikuwa na makosa? Mbona kumekuwa na ukosoaji mkubwa wa kilichowasilishwa?? naomba busara zenu wanajamii!!
ReplyDeletepole jaji warioba
ReplyDeleteKutokana na hotuba hii ya JK na ya jana ya Senator Wako,dunia inasubiri tufanye uamuzi 'fulani' wa kijinga itucheke.Wajumbe kuweni makini sana.
ReplyDeleteDavid V
Ankal, hima tuwekee video clip nzima ya hotuba hii maana sie kusoma kurasa 24 za hotuba hii muhimu ni changamoto kubwa hasa hasa kutokana na kubeba box masaa 18 kwa siku, raha ni kusikiliza na kuangalia video clip huku umejilaza ktk sofa sawia tukipata mapumziko baada ya kazi ngumu.
ReplyDeleteMdau
Diaspora