Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma huku akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, leo Ijumaa, Machi 21, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa Kanuni 7(1)g na Kanuni 75(1) la ya Kanuni za Bunge Maalum. PICHA NA IKULU.
ReplyDeleteHana Laptop?
Mbona hiyo kizamani, alekebishe kwa peni halafu ampe mtu atype
The mdudu,yes anaenda kutuwekea kumbukumbu ya vizazi vya sasa na vijavyo.hakika tutakukumbuka daima, yule ng'oombe wa miguu mitatu wala haina haja ya kumkimbiza tutamkamata kiulaini na tutamfanya ndafu au supu ya mama kalunde kule kiwalani.watanzania tumuombeni mungu atujalie tuipate hii katiba mpya kisha tuwatese hawa majirani hasidi.
ReplyDeletendugu wajumbe msikilizeni JK lakini sio lazima atayosema mkubaliane nayo , mpo kwa ajili ya wananchi hampo kwa ajili ya JK , kuweni waadilifu msije mkalewa na maneno ya Rais JK , yeye anania ya kukipigania CCM na sera zake za serikali mbili , huko sisi hatumo tena, tunataka tanganyika yetu na sisi hata huu muungano sisi hatuna haja nao waachieni visiwa vyao akina yakhe
ReplyDeletekila la kheri Mhe. Rais wetu, Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza akuepushe na mabalaa yote, tunakuhitaji na tuzihitaji busara zako na uongozi wako katika kipindi hiki muhimu kwa Taifa letu kuelekea kupata Katiba Mpya.
ReplyDeletesasa jamani hao wahusika hawajaona airforce 1 jinsi ofisi inavyokamilika mpaka mnasababisha Raisi wetu anaandikia kwenye miguu shame on you guys.
ReplyDeleteMuungano mwisho chumbe. Kaeni na Tanganyika yenu.
ReplyDelete
ReplyDelete===============Correction ======
Hana Laptop?
Mbona hiyo kizamani, arekebishe kwa peni halafu ampe mtu atype
Hopefully he dissolves the Bunge and send them home. What have they done so far - nothing
ReplyDeleteNi ukweli uliwazi kama jua mchana kua mheshimiwa JK ni rais pekee ambaye tanzania ilikua haijawahi kumpata, mchapakazi na mwenyekusikiliza matakwa ya raia zake. Hongera saana mheshimiwa na uwepo wako utakumbukwa na wale wasiokubali kazi zako na wale ambapo utaondoka
ReplyDeleteMdau wa kwanza kwa ktk masuala nyeti ya Kiutendaji na Kisayansi daima hutumia Kalamu na Karatasi na sio Laptop!
ReplyDeleteHuwezi kuamini wakati Nuclear Dialog in Geneva SWISS yaani 'Majadala wa Masuala ya Nyuklia kati ya Iran na Marekani na Israel kule Geneva mwishoni mwa mwaka jana 2013 Wajumbe walikuwa wanatumia michoro na maelezo kwa kalamu na karatasi kuelezea misimamo yao na masuala yao ya Kisayansi ktk Kikao mwazno hadi mwisho.
Hivyo JK akiwa kama Mtendaji ama Mwana Sayansi aliye kimaa anatumia Kalamu na Karatasi kuandika masuala nyeti ktk Hotuba atakayotoa!
Umezungumza mdau
Deleteeti laptop! vijana mnaajiita wa sasa mmepumbazwa kweli! kalamu na karatasi ndo mwisho wa matatizo, hata kupika jikoni mtataka kupika kwa laptot na tablet! JK anapiga kazi bwana. tutakukumbuka daima! Andika hata kwa mkaa Baba hakuna kama wewe
ReplyDeleteBaada ya Katiba Kukamilika watu Wapinga Muungano kama huyo No.6 tutawaweka Lupango!
ReplyDeletehuyo anaeshangaa JK kuandika kwa pemi ni mshamba na fala,
ReplyDeletebasi peni zisinge uuzwa.....