Unajua kwamba unene wa kupindukia (overweight) unakuweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mengi yakiwemo ya moyo,kisukari  presha n.k. ? 
Kukabiliana na tatizo la unene ni chaguo lako na sisi tutakusaidia kutimiza lengo lako kupungua kilo unazotaka kwa kutumia programu yetu (Natural and healthy program) . Inakufikia popote ulipo.
CLEAN 9. Ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji chakula. 
Matumizi yake ni rahisi sana. 
Tumia bidhaa kwa usahihi kisha utahitaji kufanya mazoezi walau dakika 20 (kutembea,kuruka kamba,kukimbia au gym ukipenda), Kunywa maji ya kutosha angalau lita tatu kwa siku. 
Inatumia kwa siku tisa na itakusaidia kupungua kilo 3 mpaka 9 kisha kupungua zaidi utatumia Nutri lean ambayo ina bidhaa za mwezi mzima na una uwezo wa kupungua kilo 10 mpaka 15. Rahisi eeh?? 

Nitafute kwa maelezo zaidi call 0752 36 13 05

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tutaamini vipi kuhusu umadhubuti na usalama wa hizo dawa wakati biashara yako haina hata jina au hata website? Je kama hiyo dawa haikufanya kazi au kama ikileta madhara je tutakutafuta wapi?

    ReplyDelete
  2. Ni vema ukauelimisha uma na side effects za hiyo Clean 9.

    ReplyDelete
  3. ebwanawee hiyo picha mbona haina tofauti naya baadaee? moja imepiga karibu na moja kwa mbali sikiliza bwana unapotaka kutofautisha picha ya before na after lazima umpige akiwa kasimama sawasawa kwa mbele awe amefaci mbele ndio tutajua kuwa ipo tofauti chukuwa hinti hiyo kazinjema umejitahidi dada zetu machopochopo mingi wapunguze doh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...