Unajua kwamba unene wa kupindukia (overweight) unakuweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mengi yakiwemo ya moyo,kisukari presha n.k. ?
Kukabiliana na tatizo la unene ni chaguo lako na sisi tutakusaidia kutimiza lengo lako kupungua kilo unazotaka kwa kutumia programu yetu (Natural and healthy program) . Inakufikia popote ulipo.
CLEAN 9. Ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji chakula.
Matumizi yake ni rahisi sana.
Tumia bidhaa kwa usahihi kisha utahitaji kufanya mazoezi walau dakika 20 (kutembea,kuruka kamba,kukimbia au gym ukipenda), Kunywa maji ya kutosha angalau lita tatu kwa siku.
Inatumia kwa siku tisa na itakusaidia kupungua kilo 3 mpaka 9 kisha kupungua zaidi utatumia Nutri lean ambayo ina bidhaa za mwezi mzima na una uwezo wa kupungua kilo 10 mpaka 15. Rahisi eeh??
Nitafute kwa maelezo zaidi call 0752 36 13 05
Tutaamini vipi kuhusu umadhubuti na usalama wa hizo dawa wakati biashara yako haina hata jina au hata website? Je kama hiyo dawa haikufanya kazi au kama ikileta madhara je tutakutafuta wapi?
ReplyDeleteNi vema ukauelimisha uma na side effects za hiyo Clean 9.
ReplyDeleteebwanawee hiyo picha mbona haina tofauti naya baadaee? moja imepiga karibu na moja kwa mbali sikiliza bwana unapotaka kutofautisha picha ya before na after lazima umpige akiwa kasimama sawasawa kwa mbele awe amefaci mbele ndio tutajua kuwa ipo tofauti chukuwa hinti hiyo kazinjema umejitahidi dada zetu machopochopo mingi wapunguze doh!!
ReplyDelete