Tunawaomba RADHI kutokana na kutoonekana kwa vipindi vyetu hewani kuanzi Jumamosi tarehe 8. Hii imetokana na sisi Kama waandaaji kuwaomba TBC
KUSITISHA kurusha vipindi.
Kipindi cha kwanza kilirushwa saa 4.20 usiku, cha pili kikarushwa saa
4.50 usiku, cha tatu kikarushwa saa 3 usiku na cha nne (cha jumamosi)
HAKIKURUSHWA KABISA!
Kwa kuwa jambo hili linahusisha makubaliano, tunaomba muwe na subira
wakati tukirekebisha mambo ili muweze kuitazama Maisha Plus SEHEMU na
muda UNAOELEWEKA ndani ya siku chache zijazo.
Tunawaomba RADHI kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
Imetolewa na Uongozi
dMb Co. Ltd
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...