
Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa leseni zote za biashara nchini. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher (kati) akikazia tamko la serikali juu ya ukaguzi wa leseni za biashara. Pembeni yake ni Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kushoto) na Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo, Frank Mvungi.
Leseni mnatoa wenyewe tena kwa Rushwa sasa mnataka kukagua nini. Acheni kwanza rushwa za leseni ndio mkague.
ReplyDelete