Kamera ya Mdau ilimnasa Dereva huyu wa Bodaboda akiwa na abiria wake,wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta balaa ndani ya jiji hili la Dar.
Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog
Huku kufurika ni hatari, sasa mitaro ya kuelekeza maji ya mvua mbona haisaidii imeziba au haipo.
ReplyDelete