![]() |
Moto huo unaotajwa chanzo chake kusababishwa na jiko la gesi ulilipuka na kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake. |
![]() |
Huku baadhi yao wakiwa wamejitosa kufanya uokoji wa mali, wananchi wengine kama kawaida yao walikimbilia eneo la ajali kushuhudia moto huo uliokuwa ukivuma kuashiria hatari na eneo hilo si salama. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Pole zao waliopata mkasa huu.
ReplyDeleteHuduma za zimamoto ziwe karibu hata kama ni za makampuni binafsi, kulipana kunaweza kuwa baadaye baada ya tukio lakini huduma iwepo.
Miaka mingi iliyopita nilikuwa nafanya kazi katika hospitali moja ya ndugu zetu wamanga uarabuni. Wakati huo ulikuwa wakati ambapo jamaa walikuwa waanza kuacha kutumia mikaa na kuanza matumizi ya majiko ya gesi.Palikuwa na ajali nyingi sana. Hao wauzao majiko hayo huko Bongo, hala hala wafundisheni ndugu zetu matumizi ya majiko hayo na njia za kupunguza eksdenti.
ReplyDelete