Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mhe. Profesa Costa Mahalu akiteta jambo na katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Thomas Kashilila kulia na Mhe.John Magufuli.
Spika wa Bunge la Jahmuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akijadiliana jambo na Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib
Wajumbe Mhe Machali na Mhe.Mchungaji Kadiva wakijadiliana
Waziri mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa kulia aliyekaa akijadiliana jambo na Mhe.Philemon Ndesamburo
Mhe.Andrew Chenge akijadiliana jambo na Mhe. Sadifa Juma Khamis
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...