Home
Unlabelled
TATHIMINI YA HALI YA UHALIFU MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA FEB- 2014 IKILINGANISHWA NA KIPINDI CHA MWEZI JAN- 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Kamanda, Nakupongeza sana kwa uwezo wako wa kutambua umuhimu wa taarifa. I salute YOU.
ReplyDeletePongezi sana Kamanda Msangi !
ReplyDeleteMbeya na Arusha za miaka ile siyo za sasa!
Ndugu zetu Wanyampala na Waarusha wamekuwa Makada tena wa Siasa za Jazba na Uhalifu, huku wakikiuka Sheria za nchi, Kanuni za Usalama na Taratibu kwa Kisingizio cha Harakati za Kisiasa.
Wameshindwa kutofautisha kati ya ''Harakati za Kisiasa na Uvunjaji wa Sheria'',,,kitu ambacho Kamanda Msangi anakifanyia kazi na kutoa Taarifa kwetu muda hadi muda.
Mbeya kama ilivyokuwa Arusha imekuwani Miji ya Siasa zaidi ya Kazi kuliko Dodoma yalipokuwa Makao ya Bunge na Serikali!
Nakupongeza sana Bw. Msangi kwa jitihada binafsi na kwa kujituma katika kuiweka polisi karibu sana na jamii. Hii ndio "modern policing" na jeshi letu litapata mafanikio mengi kwa leadership style hii. Hii style ingeigwa na wenzetu wa Makao Makuu Dar na mikoa mingine basi jeshi letu lingepanda chati sana. Hongera sana na una future nzuri sana commissioner Msangi. Nadhani kuna wenzako wanaokushangaa huyu vipi? kwa kuwa wana uzoefu wa uongozi wa zamani. Waambie mambo siku hizi yamebadilika. Mdau JoSheffu, dar
ReplyDeleteHuyu kamanda Msangi nimpe hongera pia kwa taarifa zake hizi hii ndio pilisi ya kisasa ..na mikoa mingine iige utendaji kazi huu wa kamanda Msangi uliotukuka..hongera sana kamanda!!
ReplyDeleteMdau wa Oxford,UK.