Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Z. Msangi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera Kamanda, Nakupongeza sana kwa uwezo wako wa kutambua umuhimu wa taarifa. I salute YOU.

    ReplyDelete
  2. Pongezi sana Kamanda Msangi !

    Mbeya na Arusha za miaka ile siyo za sasa!

    Ndugu zetu Wanyampala na Waarusha wamekuwa Makada tena wa Siasa za Jazba na Uhalifu, huku wakikiuka Sheria za nchi, Kanuni za Usalama na Taratibu kwa Kisingizio cha Harakati za Kisiasa.

    Wameshindwa kutofautisha kati ya ''Harakati za Kisiasa na Uvunjaji wa Sheria'',,,kitu ambacho Kamanda Msangi anakifanyia kazi na kutoa Taarifa kwetu muda hadi muda.

    Mbeya kama ilivyokuwa Arusha imekuwani Miji ya Siasa zaidi ya Kazi kuliko Dodoma yalipokuwa Makao ya Bunge na Serikali!

    ReplyDelete
  3. Nakupongeza sana Bw. Msangi kwa jitihada binafsi na kwa kujituma katika kuiweka polisi karibu sana na jamii. Hii ndio "modern policing" na jeshi letu litapata mafanikio mengi kwa leadership style hii. Hii style ingeigwa na wenzetu wa Makao Makuu Dar na mikoa mingine basi jeshi letu lingepanda chati sana. Hongera sana na una future nzuri sana commissioner Msangi. Nadhani kuna wenzako wanaokushangaa huyu vipi? kwa kuwa wana uzoefu wa uongozi wa zamani. Waambie mambo siku hizi yamebadilika. Mdau JoSheffu, dar

    ReplyDelete
  4. Huyu kamanda Msangi nimpe hongera pia kwa taarifa zake hizi hii ndio pilisi ya kisasa ..na mikoa mingine iige utendaji kazi huu wa kamanda Msangi uliotukuka..hongera sana kamanda!!
    Mdau wa Oxford,UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...