Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Good idea. Dar is not very hot in August for thise who want to venture.

    ReplyDelete
  2. Now, this is what I am talking about. High time that the Diaspora come back home and show us what they got. Congrats to whoever came up with this fresh idea. Tanzanians at home need to see and hear from the horse's mouth

    ReplyDelete
  3. Now, this is what I am talking about. High time that the Diaspora come back home and show us what they got. Congrats to whoever came up with this fresh idea. Tanzanians at home need to see and hear from the horse's mouth

    ReplyDelete
  4. Haya tena waandika aya za Diaspora huu ndio wakati sasa mjiandae kuja kutuonesha mlichonacho na kutupa sababu ya kuwakubalia uraia pacha!
    KAZI KWENU. Mzungu ainaita hii ni litmus test ya walio nje, mje tuwaone na miradi ama hata ideas tu ya kujenga Tanzania. Msiwe mnashinda kwenye makompyuta na kumwaga ma-theories tu...

    ReplyDelete
  5. Whoever came up this idea is a master genius. Perfect idea, perfect timing na kanza kutoa taarifa ya maandaliz mapema. Opportune time for Tanzania Diasporans to come and show and tell what they can do for their country. Serikali iwaunge mkono hawa walio buni hiki kitu ili kiwe endelevu. Congratulations.

    ReplyDelete
  6. Big up waandaaji! Tafadhali leteni registration details mapema ili tuanze kujiandikisha. This is what we want to see. Diaspora have a lot to showcase for Tanzania and it is about time we have a conference of this kind. Wanadiaspora wenzangu, hima tujiorganise twende kuwaonyesha Nyumbani what we can do. Tusisahau kuwaleta wazungu kuja kuwekeza mapesa yao pia.
    Nimeanza kupaki na kunetwork

    ReplyDelete
  7. Brilliant Idea. Whoever came up with this is a master genius.An opportune time for all. What can Diaspora and Diaspora Returnees do for their country. This conference is perfect on ground be it diasporans, investors, emoployers etc a perfect come and see visit. Uliza maswali tafuta opportunities ukiwa hapa hapa jikoni. Tumeipenda. Serikali iwaunge mkomno Tanzania Diaspora Initiative for such and initiative. Tuungane nao jamani.

    ReplyDelete
  8. Anonymous wa nne, jamaa yetu usiwe na akili mgando. Na uhakika kabisa jamaa wengi wanaongea humu kuhusu ili suala siyo wanamwaga theories kwenye computer tu bali wengi wamejaribu kwa vitendo.(wengine ni kazi yetu Computer Engineer, LOL! dharau hizo!) Kama hauna wazo la maana la kuongea kaa kimya tu, siyo lazima uongee kudharau wengine. Ndiyo tatizo letu wabongo tuna dharau sana. Mfano ulio wazi ni Kajumulo alianzisha timu Bongo na tunajua timu yake ilivyokuwa juu. Lakini alipoondoka tu na kuachia jamaa waendelezee, jamaa wakala pesa za wachezaji, akabakia analaumiwa yeye kuwa ajawapa wachezaji hela. Wakamshitaki.(mtu anajitolea kuwekeza kufanya kitu jamaa, jamaa wakaanza anajidai ana hela) Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwekeza sehemu ambayo hamna faida na akifanya hivyo ni kwa upendo. Wabongo tuache kutegemea vitu vya bure. Tubadilike kitabia. Tusitegemee kwa vile jamaa wako sehemu basi watakuja kuwekeza bure(hata wazungu wanaokuja kuwekeza si bure, kama tunavyoona).Lakini weusi tumekazana tunasema hawa wenzetu lazima walete kitu kupewa uraia, wakati wahindi, wazungu, wachina n.k hamna kelele. Mfano ni makocha wageni wanakuja kufanya kazi kila siku Bongo na wanaondoka na mshiko kibao. Hapo hapo tuna makocha wengi Wabongo wanweza kufanya hizo kazi, wengine wala hatuwajui kwa vile tunataka ngozi nyeupe.
    Kusema kweli mie siitaji uraia pacha, kwani naona ni lawama tu, inaonekana kama watu wa diaspora ndiyo tumeleta matatizo yaliyopo Bongo. Watu badala ya kujilaumu wao na viongozi wao tunalaumiwa sisi. Ambapo sie hatuko kwenye kupiga kura. Siye hatupunguzi bali tunaongeza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...