| Uandikishaji kwa wakimbiaji wa mbio za Km 5 Fun Run ukiendelea katika hoteli ya Keys mjini Moshi. Mbio hizi hufanyika kila mwaka katika Jumapili ya mwisho ya mwezi Juni |
| Katika banda la Vodacom shughuli za uandikishaji kwa wakimbiaji wa mbio za Km 5 Fun Run zikienndelea. |
| Kampuni ya GAPCO pia wapo kuhakikisha mbio za walemavu zinafana mwaka huu |
| Kwa wale wanaokimbia wakitizama muda hawa jamaa pia wamepiga kambi Keys Hotel. |
| Upande wa wadhamini wakuu mbio hizo Kilimanjaro Premium Lager shughuli za uandikishaji ziliendelea. |
| Shirika linalopambana na masuala ya Ukeketaji NAFGEM pia wanahkikisha watoto wa jamii ya kimaasai wanashiriki mbio hizo. |
| Mazingira ya mji wa Moshi tayari yamebadilika ikiwa ni shamrashamra ya mbio hizo. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...