Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Mecky Sadiki akitoa maelezo machache kuhusu suala la upatikanaji wa maji Mkoani mwake, katika warsha iliyofanyika katika hoteli ya Nashera mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mwantumu Mahiza , akitoa salamu pamoja na umuhimu wa ushirikishwaji wadau mbalimbali katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...