Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya kupitia European Investment Bank (EIB) wiki hii umetembelea Wizara ya Maji na kukutana na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ofisini kwake.
Ujumbe huu uliongozwa na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom kutoka Luxembourg akifuatana na wawakilishi wengine Richard Willis, Catherine Colllin, Cristian Mejia-Garcia na Anne Claire Dauvier, Adam Grodzicki.
EIB inatoa msaada kwa miradi ya Sekta ya Maji nchini katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inaendelea hapa nchini ikiwemo katika miji ya Mwanza, Bukoba na Musoma.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Makamu Rais wa EIB, Pim
van Ballekom.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wageni kutoka EU EIB
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akishuhudia Makamu Rais wa EIB, Pim van
Ballekom akisaini katika kitabu cha wageni.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akisalimiana na Balozi wa EU nchini Tanzania
Filberto Sebregondi.
Fanicha AKA samani ya ofisi ya Waziri made in wapi vilee??
ReplyDelete